MGOGORO WA WAISLAMU TABORA:- ALIYEKUWA SHEIKH MKUU AFIKISHWA MAHAKAMANI.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/mgogoro-wa-waislamu-tabora-aliyekuwa.html
Aliyekuwa
Sheikh mkuu wa mkoa wa Tabora Sheikh Shaaban Salumu(aliyevaa shati
jeusi) wakati alipokuwa barabarani akisindikizwa na waumini wa dini ya
kiislamu baada ya kuachiwa kwa dhamana katika mahakama ya hakimu mkazi
Tabora akituhumiwa kwa kosa la kutaka kuleta fujo msikiti mkuu wa Ijumaa
Gongoni mjini Tabora akiwa na waumini wengine watano.

Sheikh Shaaban Salum akiwa na baadhi ya waumini waliounganishwa naye katika kesi moja mahakama ya hakimu mkazi Tabora mjini.

