MASHABIKI WAMTAKA BI. CHAU AKAE EDA KUFUATIA KIFO CHA MZEE SMALL, MHHHH... SOMA ZAIDI HAPA!
Muigizaji mkongwe Chausiku Salum ‘Bi Chau’ ameshangazwa na dhana iliyopo kwa mashibiki kwamba yeye ni mke wa marehemu Saidi Ngamba ‘Mzee ...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/mashabiki-wamtaka-bi-chau-akae-eda.html
Muigizaji mkongwe Chausiku Salum ‘Bi Chau’ ameshangazwa na dhana iliyopo kwa mashibiki kwamba yeye ni mke wa marehemu Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ huku wakimtaka akae eda.
Akipiga
stori na paparazi hivi karibuni, Bi. Chau alisema amekuwa akipokea simu
nyingi zikimuuliza anakalia wapi eda ili wakampe pole huku wengine
wakihoji kwa nini atembea mtaani wakati amefiwa.


Marehemu mzee Small akiwa na Bi Chau enzi za uhai wake.
“Baada
ya mazishi nilipata wakati mgumu, nilipokuwa nikienda kazini ITV
nilichukua Bajaj lakini nilipokelewa na maneno makali ambapo niliambiwa
sisi wasanii ni wabaya sana, nimeona kafariki hata siku hazijaisha
nimepaka piko na sijakaa eda, nilijisikia vibaya kwani Small hakuwahi
kuwa mpenzi wangu,” alisema Bi. Chau.
