Flatnews

LI YA KUTISHA IMETOKEA NANENANE JIJINI MBEYA KATI YA ROLI NA TAX

Gari aina ya tax toyota iliyopata ajali


Gari aina ya tax toyota iliyopata ajali





Roli lilisababisha ajali

tax iliyogongwa na dereva kavunjika mguu









                 Mmoja kujeruwiwa  na kukimbizwa hospitalini jioni hii baada ya gari lake kukogwa vibaya na roli la mizigo ambalo lilikuwa linatoka uyole ya kuacha njia na kuvamia gari hilo dogo aina ya tax.
              Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa roli na kushidwa kulimudu gari na kusababisha kuama njia.
                                                   Na Habari Talk

Post a Comment

emo-but-icon

item