KOCHA URUGUAY: LUIS SUAREZ HATAKUWA YULE WA LIVERPOOL HATA KAMA ATAANZA MECHI DHIDI YA ENGLAND
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/kocha-uruguay-luis-suarez-hatakuwa-yule.html
Anaimarika: Mshambuliaji huyu hatari anaweza kuwavaa England licha ya kuwa na matatizo ya goti.
Diego Lugano alitolewa katika mchezo, lakini Tabarez anasema mbinu zake hazitabalika.
Tabarez pia aligoma kutaja kikosi chake kwa ajili ya mechi ya kundi D
itakayocheza leo ambapo mchezaji Diego Lugano ndiye atakosekana.
"Kama
atacheza (Suarez) lazima tukubali kuwa hatakuwa fiti kama alivyokuwa
ligi kuu," alisema Tabarez. "Hata kama hatakuwa fiti kwa asilimia 100,
ni mtu anayeweza kutoa mchango mkubwa kwa timu".
"Tunadhani kama kila kitu kitakwenda vizuri, hakuna sababu ya yeye kutocheza kombe la dunia. Ameimarika vizuri