Majanga: Vicente Del Bosque aliitazama Hispania yake ikitolewa katika hatua ya makundi.
Wazee
kimenuka, twendeni nyumbani `tukaangaliage` kwenye TV tu!: Kempeni za
Hispania katika kombe la dunia mwaka huu zimeisha mapema
Kaah! nitajificha wapi maskini mimi?: Mwaka wa majanga kwa kipa Iker Casillas, ameigharimu nchi yake.
Jamani ndio tunaondoka hivi?: Shabiki wa Hispania hakuwa na hamu ya mpira.
`Jamaa basi wanashangilia utafikiri wamebeba ndoo`! Sergio Ramos alijitahidi sana kuiokoa Hispania.