Flatnews

NGUMI KUPIGWA ULONGONI B JUNI 21 GONGOLAMBOTO


 Bondia Said Uwezo kushoto akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na Shujaa Keyakeya wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai pub ulongoni 'B' gongolamboto picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Abdallah Mbela kushoto akipiga ngumi kwa Said Uwezo wakati wa mazoezi ya kujiandaa kupambana juni 21  na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai pub ulongoni 'B'  Gongolamboto

Post a Comment

emo-but-icon

item