BREAKING NEWS : TAZAMA PICHA ZA AJALI ILIYOTOKE MAKONGO MDA HUU NA KUUA WATU 17.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/breaking-news-tazama-picha-za-ajali.html
Gari aina ya Toyota Coaster
inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam
imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na
kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la
Makongo Sekondari jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari
zaidi zitakujia hivi punde.!