BET NDO ISHANUKIA KWA DIAMOND, NA HIKI NDO ATAKIFANYA KABLA YA KUTOLEWA KWA TUZO HIZO
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/bet-ndo-ishanukia-kwa-diamond-na-hiki.html
Baada
ya MTV MAMA awards iliyofanyika huko bondeni Afrika ya kusini na kuteka
akili za watu hapa town, haswa baada ya mkali wa Afro Pop kupiga bonge
la show ambalo lilimchanganya hadi Mr.President na kumfanya afunguke
kukubali na show ile. Hii sasa ni moto wa kuotea mbali, huku wakati
Diamond Platnumz akiwa bado ana-run hii DSM, hasa
baada ya kuachia nyimbo yake ya Mdogo mdogo inayopigwa kila kona ya
media hapa Bongo. Hivi sasa ni moja kwa moja hadi jiji la malaika aka
Los Angels huko kwa Obama ambapo ndipo anatarajia kutia mguu katika
maadnalizi ya awali ya tuzo hizo za BET., Kupitia ukurasa wake wa
Instagram alifunguka na kudokezea tu, akisema “LOS ANGELES! need i say
More?”, kweli hamna la ziada la kusema hapo lugha ya picha hii inasomeka
vizuri sana.
credit : vibe