BASI LA NEWS FORCE LAUA WAWILI PAPO HAPO NA KUJERUHI 40 BAADA YA KUPATA AJALI
Basi la New Force Muda muda mchache baada ya kupata Ajali
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/basi-la-news-force-laua-wawili-papo.html
Taarifa zilizotufikia kutoka
Igurusi zinasema Basi la New Force lililokuwa likitoka Dar es salaam
kuja Mbeya limepata Ajali Mbaya eneo la Igurusi na kusababisha Vifo vya
watu wawili hapo hapo walikuwa wakitembea kwa miguu na kujeruhi wengine
Arobaini ambao wanakimbizwa Hospitali sasa na kusaidiwa, Taarifa kamili
na picha zinakuja endelea kufuatilia Hapa hapa