Flatnews

ANGALIA PICHA UKATILI DHIDI YA BINADAMU UNAOENDELEA NCHINI IRAQ


mauaji1
Vuguvugu la Sunni lenye msimamo mkali la ISIS ambalo limeteka maeneo ya Kaskazini mwa Iraq limesambaza picha ambazo zinaonyesha jinsi wapiganaji wake walivyoangamiza idadi kubwa ya wanajeshi wa Iraq.

mauaji2
Kwa mujibu wa BBC, Picha zinazosambazwa kupitia internet zinaonyesha miili ya watu iliyosongamana ndani ya mtaro ikiwa imepelekwa hapo kwa kutumia malori.

mauaji3
Wapiganaji wa ISIS wanaonekana wakibeba bendera nyeusi ya huku wakichoma miili hiyo na kulazimisha mateka kulala chini.

mauaji4
mauaji6
Wakati huo huo, Serikali ya Marekani inafikiria kuingia katika mazungumzo ya moja kwa moja na Iran juu ya hali ya usalama huko Iraq.

Post a Comment

emo-but-icon

item