AJLI MBAYA YA BODABODA UBUNGO MAZIWA ASUBUHI HII
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/ajli-mbaya-ya-bodaboda-ubungo-maziwa.html
Muendesha
Bodaboda Mmoja Ambaye jina lake halikufahamika maja Moja
AkiwaAmejeruhiwa Vibaya mara baada ya Ajali iliyotokea Leo asubuhi eneo
la Stesheni Ubungo Maziwa mara Baada ya kugongana na Muendesha Bodaboda
Mwenzake,.Kwa Mujibu wa Mashuhuda wa Tukio Hilo wamesema KIjana huyu
alikuwa anaendesha Pikipiki akiwa Mwendo kasi alipojaribu kumpita
Mwenzake Ndipo alipotekeza Muendesha Bodaboda Mwingine na Ndipo
alipomgonga kwa Nyuma kisha Kudumbukia Mtaroni.
Majeruhi akiwa Amelala chini mara baada ya Ajali hiyo.
Umati uliojitokeza kushuhudia tukio hilo
Pikipiki iliyopata ajali .