AJALI MBAYA YA GARI NA PIKI PIKI BARABARA YA CHALINZE SEGERA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/ajali-mbaya-ya-gari-na-piki-piki.html
Mwendesha
pikipiki na abiria (majina hayakutambulika) wakiwa wamelala chini
katika barabara ya Chalinze Segera karibu na Kabuku baada ya kugongwa na
gari ndogo yenye usajili namba T818 BNS leo mchana. Mpiga picha wa
tukio hili alienda kutoa taarifa ya ajali kiTuo cha polisi cha Kabuku
ambapo Polisi walienda kutoa msaada wa kukimbiza majeruhi hospitali
pamoja na kupima ajali. (Picha kwa hisani ya Rodney Thadeus)