TBL YAPATA TUZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NCHINI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/tbl-yapata-tuzo-ya-utunzaji-wa.html
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema (kushoto) akimkabidhi tuzo ya cheti
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, kwa
kutambua mchango wa kampuni hiyo katika utunzaji wa mazingira nchini,
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika hivi
karibuni kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Dorris Malulu akifurahia TBL kupata tuzo ya utunzaji mazingira nchini