MWILI WA KUAMBIANA KUAGWA J’TATU NA J’NNE DAR
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/mwili-wa-kuambiana-kuagwa-jtatu-na-jnne.html
Mke wa marehemu Adam Kuambiana, Janeth Rithe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kunduchi akifarijiwa.
MWILI wa
Mwigizaji na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana utaagwa
kesho Jumatatu nyumbani kwake Bunju B, Dar na siku ya Jumanne asubuhi
utapelekwa Viwanja vya Leaders kuagwa na mashabiki wake.
Taarifa hizi zimetolewa na mke wa marehemu, Janeth Rithe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kunduchi (Chadema)!



