MCHEKI PEP GUARDIOLA ALIVYOZUZULIWA NA SHEREHE ZA UBINGWA BUNDESLIGA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/mcheki-pep-guardiola-alivyozuzuliwa-na.html
Pati la kufa mtu: Kocha wa mabingwa wa Bundesliga, Bayern Munich, Pep Joseph Guardiola (kushoto) na mchezaji wake, Pierre-Emile Hojbjerg wakicheza dans jukwaani wakati wa sherehe za kufurahia kutwaa ubingwa wa Ujerumani wa ligi kuu nchini Ujerumani
Amechizika: Guardiola alikuwa amechangamka wakati wa pati hiyo, hakika ubingwa raha sana
Kamata kipaza, sema neno: Guardiola akiwatambulisha wachezaji wake kwenye pati hilo huku akiwa amevalia vazi la kitamaduni la timu hiyo
