Flatnews

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MANYONI SINGIDA


1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akizindua nyumba ya kisasa ya mfugaji Bw, Mihangwa Jinasa mkazi wa kata ya Heka wilayani Manyoni mkoani Singida ikiwa ni mradi wa wafugaji kuuza mifugo ili kupunguza idadi lakini pia kujiletea maendeleo kwa kujenga nyumba za kisasa na kuondokana na nyumba za matembe unaoendelea kwa wafugaji mkoani humo, Bw.Mihangwa pia amefanywa kuwa mhamasishaji mkubwa, mhamasishaji na mwalimu kwa wafugaji wenzake katika kubadilisha maisha yao kama wafugaji, Katika ziara hiyo Katibu mkuu Abdulrahman Kinana ameongoza na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wakikagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali na kuimarisha uhai wa Chama cha Mapinduzi ikiwa ni pamoja na kusimamia ilani ya Chama hicho ya mwaka 2010, anayezindua naye kwa pamoja ni mfugaji Mihangwa Jinasa(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-MANYONI-SINGIDA)2Hii ndiyo nyumba ya kisasa ya mfugaji Mihangwa Jinasa.2aKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akiwa ameongozana na mfugaji Mihangwa Jinasa wakipia zizini kuangalia ng’ombe waliobaki mara baada ya kuuza baadhi ya mifugo na kufanya miradi ya maendeleo katika familia yake.
3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  wa pili kitoka kulia akipiga picha ya pamoja na Bw. Mihangwa Jinasa mfugaji aliyeamua kujikwamua na kujenga nyumba ya kisasa, kulia  ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Ndugu Mgana Msindai na kutoka kushoto ni Kapteni John Chiligati Mbunge wa jimbo la Manyoni Magharibi na Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akizungumza na wananchi katika kata ya Heka leo mara baada ya kumtembelea mkulima huyo.5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  kushoto na mbunge wa jimbo la Manyoni Magharibi Kapten John Chiligati wakimpatia  fundi matofali wakati aliposhiriki ujenzi wa Maabara katika shule ya sekondari Heka.7Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wakishiriki ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari Heka.8Kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika mkutano wa hadhara mjini Manyoni.10Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akikabidhi pampu ya umwagiliaji kwa kinundi cha vijana wa kata ya Heka wilayani manyoni.11Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akikabidhi pampu ya maji kwa  ajili ya kilimo cha umwagiliani kwa vijana wa kikundi cha Ujana wa Kweli kata ya Heka.13Wanachama wapya CCM wakila kiapo baada ya kukabidhi wa kadi zao14Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdularahman Kinana akipokea zawadi ya virungu kutoka kwa mzee Nehemia Mchapala16Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdularahman Kinana akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Manyoni Magharibi Kapten John Chiligati alipokuwa akimuelezea mfugaji Mihangwa Jinasa wa shina namba tisa Miembeni wakati Katibu Mkuu huyo alipomtembelea mjumbe w akiwa katika ziara ya kukagua miradi inayowa17Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdularahman Kinana akishiriki ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari ya Manyoni.1817Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdularahman Kinana akishiriki ujenzi wa msingi katika shule yasekondari ya Manyoni21Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdularahman Kinana aki22Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdularahman Kinana akifanyanya mazoezi na wanafunzi wa shule mbalimbali wakipiga kambi kwa ajjli ya mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa Jumbe mjini Manyoni.24Nape Nauye akiwahutubia wananchi katika katika kituo cha mabasi Manyoni Mjini25Wananchi waliohudhuria katika mkutano huo26Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdularahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.27Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdularahman Kinana akizungumza mara baada  ya kusimikwa kuwa chifu watu wa Singida.28Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdularahman Kinana akikabidhi vifaa vya michezo kwa diwani Khamis Masabuni w a kata ya Manyoni mjini, vifaa hivyo vimetolewa na mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi Mh. Kapten John Chiligati.

Post a Comment

emo-but-icon

item