Msanii
Avril Nyambura kutoka kenya amabye hivi karibu alivalishwa pete na
mchumba wake kutokea pande za South Africa ambaye jamaa inasemekani ni mfanyabiashara.Katika
wanamziki warembo nchini kenya huwezi kuacha kumuongelea msanii Avril
lakin huyu ndie alimptia uzuri ambaye ni mama yake mzazi