Cheki post ya Anti ezekiel inayohusu ugonjwa wa Dengue.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/cheki-post-ya-anti-ezekiel-inayohusu.html
Kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Dengue ambao unaonekana kuja kwa kasi ndani ya Tanzania imesababisha baadhi ya mastar wamekua wakibadilisha hata aina ya mavazi kutokana na ugonjwa huu ambao inasemekana mavazi kama kaptura au sketi fupi hayafai kwa nyakati za jioni.
Kutoka
kiwanda cha filamu Bongo Mastaa wa filamu Tanzania Wema Sepetu na Anty
Ezekiel wamepost picha leo kwenye akaunti ya Anty Ezekiel wakionekana
wakiwa na dawa aina ya panadol kama kinga ya ugonjwa huo.Chini ya picha hii aliyopost Anty Ezekiel aliandika maneno haya>>’ Dengue hili haya twende kazi Panadol time’
