ANGALIA PICHA ZA SHEREHE YA KUMWAGA ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/angalia-picha-za-sherehe-ya-kumwaga.html

Hans
Van Der Pluijm akiwa na Katibu Mkuu wa Yanga SC Bw Beno Njovu na Afisa
Habari Baraka Kizuguto wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika jioni ya
leo makao makuu ya klabu ya Yanga SC
Cocktail
Party ya Kumuaga Kocha Hans Der Pluijm iliyofanyika jana kwenye Ukumbi
wa Mikutano uliopo makao makuu ya klabu. Kocha Pluijm alikabiziwa kadi
ya uanachama wa timu ya Yanga pia katika hafla hiyo
|
