Baada ya MTVMama hii ni Tuzo nyingine aliyoshinda Wizkid
Baada ya kuongoza list ya washindi wa tuzo za MTVMAMA 2016 zilizotolewa October 22,
https://samchardtz.blogspot.com/2016/10/baada-ya-mtvmama-hii-ni-tuzo-nyingine.html
Baada ya kuongoza list ya washindi wa tuzo za MTVMAMA 2016 zilizotolewa October 22,
2016 jijini Johanesburg Afrika Kusini, Super Star Wizkid ametangazwa kushinda tuzo nyingine iliyotolewa na MOBO Awards 2016 kwenye kipengele cha ‘Msanii Bora wa Afrika’.Congrats, @wizkidayo! Our Best African Act winner for 2016. #preMOBOAwards