Flatnews

RIHANNA AANZISHA KAMPUNI YA UREMBO (FR8ME)

Muimbaji mkubwa kutoka nchini marekani, Rihanna Robin Fenty ‘Rihanna. DIVA anayekimbiza duniani kutokana na uwezo wake mkubwa wa ui...

Muimbaji mkubwa kutoka nchini marekani, Rihanna Robin Fenty ‘Rihanna.
DIVA anayekimbiza duniani kutokana na uwezo wake mkubwa wa uimbaji, Rihanna Robin Fenty ‘Rihanna’ ameanzisha kampuni inayoshughulika na masuala ya urembo ambayo itamuingizia kiasi kikubwa cha fedha kutokana na umaarufu wake.

 Kwa mujibu wa Mtandao wa Hollywood Reporter wa Marekani, Rihanna ameanzisha kampuni hiyo inayotambulika kama Fr8me akishirikiana na meneja maarufu wa watu wenye vipaji Marekani Benoit Demouy, huku…
 
Muimbaji mkubwa kutoka nchini marekani, Rihanna Robin Fenty ‘Rihanna.
DIVA anayekimbiza duniani kutokana na uwezo wake mkubwa wa uimbaji, Rihanna Robin Fenty ‘Rihanna’ ameanzisha kampuni inayoshughulika na masuala ya urembo ambayo itamuingizia kiasi kikubwa cha fedha kutokana na umaarufu wake.

Kwa mujibu wa Mtandao wa Hollywood Reporter wa Marekani, Rihanna ameanzisha kampuni hiyo inayotambulika kama Fr8me akishirikiana na meneja maarufu wa watu wenye vipaji Marekani Benoit Demouy, huku hadi sasa wakiwa wamekwisha wasaini baadhi ya wasanii kwenye kampuni hiyo.
Wasanii ambao wamekwisha sainiwa ni pamoja na Taraji P. Henson, Jason Bolden, Patricia Morales, Evan Rachel Wood na Fergie.“Tuna bahati kubwa kupata wasanii bora katika kampuni hii,’ alisema Rihanna.

Related

ENTERTAINMENT 5911961417558835921

Post a Comment

emo-but-icon

item