RATIBA YA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA WEEKEND HIII
Baada ya pilika za wiki nzima hatimaye leo ni ,mapumziko, kwa wale wapenda soka leo ligi mbalimbali barani Ulaya zitaendelea kwa mechi ...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/11/ratiba-ya-ligi-mbalimbali-barani-ulaya.html
Baada ya pilika za wiki nzima hatimaye leo ni ,mapumziko, kwa wale wapenda soka leo ligi mbalimbali barani Ulaya zitaendelea kwa mechi kadhaa kupigwa. EPL, La Liga, Bundesliga na nyingine nyingi zitaendelea mwishoni mwa juma hili.
Nadhani utakuwa unasubiri kwa hamu kushuhudia baadhi ya michezo hasa ile inayoshirikisha timu unayoishabikia pamoja na mechi nyingine kali bila kujalisha kama kuna timu yeyote unayoisapoti.
Ratiba ya EPL weekend hii iko hivi;
Spanish La Liga itaendelea kwa michezo ifuatavyo;
Bundesliga ratiba imesimama kama ifuatavyo;