Flatnews

MAHAKAMA KUU YAZIZIMA:...TUNDU LISSU AIKUSANYA TABORA KWENYE KESI YA KAFULILA

                                 Wakili msomi,wakili wa mahakama kuu,aliyekuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni,mwanasheri...


                                
Wakili msomi,wakili wa mahakama kuu,aliyekuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni,mwanasheria wa CHADEMA, mshauri wa UKAWA na mbunge wa Singida Mashariki Mh.Tundu Lisu ndiye wakili
atakayemtetea Mbungealiyepokonywa ushindi wake na CCM Mh.Kafulila David.


Kesi hiyo ya kupinga wizi wa "mchana kweupe" imefunguliwa mahakama kuu ya Tabora.

Tuweke maombi mbele,Kafulila ni zaidi ya mbunge,

Related

NEWS 6726945774042038215

Post a Comment

emo-but-icon

item