Flatnews

LOWASSA Atoa Kauli Kuhusu Mauaji ya Mwenyekiti wa Chadema Geita Aliyeuawa Kwa Kukatwa na Mapanga

Katika Ukurasa Wake wa Facebook Lowassa a meandika Haya Kuhusu Kifo cha Mwenyekiti wa Chademe Mkoani Geita:



Katika Ukurasa Wake wa Facebook Lowassa ameandika Haya Kuhusu Kifo cha Mwenyekiti wa Chademe Mkoani Geita:

"Nimeshtushwa na kusikitishwa na taarifa za msiba wa kijana wetu Alphonce Mawazo, Natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki pamoja na familia yetu ya UKAWA.Hakika tumeondokewa na mpiganaji."

Related

NEWS 8726293956647174627

Post a Comment

emo-but-icon

item