Flatnews

Huddah Monroe amuweka wazi mpenzi wake mwingine!

                            MREMBO ambaye hakauki kwenye vyombo vya habari nchini Kenya, Huddah Monroe, kupitia ak...


                            post-feature-image
MREMBO ambaye hakauki kwenye vyombo vya habari nchini Kenya, Huddah Monroe, kupitia akaunti yake ya Instagram, amemuweka wazi mpenzi wake mpya.
Huyo atakuwa mpenzi wake wa pili kumtambulisha mwaka huu, hivyo aonekana kuwa hawezi kudumu na mwanaume kwa muda mrefu tangu alipoachana na mkali wa kupiga pamba nchini humo CMB Prezzo.

Huddah aliandika: “Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli anaweza kumbadilisha mwanamke mwenye tabia mbaya, hivyo nimerudi tena kwenye uhusiano na mwanaume mwingine ambaye naamini tutaendana sawa.

Ujumbe huo ulionekana kupokelewa tofauti na baadhi ya mashabiki ambapo wengi walimtaka mrembo huyo kutulizana na mpenzi mmoja.

House of Entertainment, News, Gossip, Music and Videos!

Related

UDAKU 3002718526856896318

Post a Comment

emo-but-icon

item