Flatnews

Breaking News: Wabunge wa CCM wamempitisha Job Ndugai kugombea Uspika

                                          Mbunge wa Kongwa na aliyekuwa naibu spika bunge la 10 lililoisha, Job Ndugai amepitishwa na kam...


                                         
Mbunge wa Kongwa na aliyekuwa naibu spika bunge la 10 lililoisha, Job Ndugai amepitishwa na kamati kuu ya chama cha mapinduzi kugombea nafasi ya uspika wa bunge la
Jamhuri ya muungano wa Tanzania baada ya wagombea wengine wawili waliopitishwa mwanzo kujitoa.

Video ya tukio hili iko hapa chini:-

Related

NEWS 3205193653492568869

Post a Comment

emo-but-icon

item