Flatnews

Breaking News: Rais Magufuli Afuta Sherehe za Uhuru Disemba 9

Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema rais.John Pombe Magufuli amefuta maadhimisho ya siku ya Uhuru December 9 na kuagiza f...


Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema rais.John Pombe Magufuli amefuta maadhimisho ya siku ya Uhuru December 9 na kuagiza fedha zilizopangwa kwa shughuli hiyo zitengwe kwaajili ya kufanyia shughuli nyingine na pia akaagiza siku hiyo kutumika kwaajili kufanya usafi nchi nzima kwaajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu.

Related

NEWS 4832432745890993905

Post a Comment

emo-but-icon

item