Flatnews

WATANZANIA WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIGA KURA OKTOBA 25

Mkuu wa mkoa wa dodoma Chiku Galawa akizungumza na waandishi wa habari leo mapema mjini dodoma.Picha na Manase Madelemu.


Mkuu wa mkoa wa dodoma Chiku Galawa akizungumza na waandishi wa habari leo mapema mjini dodoma.Picha na Manase Madelemu.
 
        Na;Manase Madelemu
 Watanzania wote waliojiandikisha na wenye sifa za kupiga kura wametakiwa kujitokeza kupiga kura za kuwachagua viongozi wao katika ngazi za udiwani,ubunge na rais.katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika oktoba 25 mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma Lutel msaafu Chiku Galawa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapa
Aidha amesema serikali mkoani dodoma imejipanga vizuri kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na kutokutokea kwa hali yoyote ile ya uvunjivu wa amani
Hata hivyo amewataka wamiliki wote wa kumbi za starehe kuhakikisha wanafunga ifikapo saa tano usiku ili kuweza kuzuia vurugu

Related

NEWS 4993428509711740162

Post a Comment

emo-but-icon

item