Flatnews

TAZAMA BENDERA ZA VYAMA VYA SIASA KATIKA KIPINDI CHA LALA SALAMA KUELEKEA OKTOBA 25 MJINI DODOMA

 Katika kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25 hali ya kampeni imedhidi kushika kasi ambapo mkoani dodoma ukipita katikati ya mji utakuta bender...


 Katika kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25 hali ya kampeni imedhidi kushika kasi ambapo mkoani dodoma ukipita katikati ya mji utakuta bendera za vyama vya siasa vyenye nguvu na ushawishi
mkubwa kwa watu CCM na CHADEMA.Katika hali hiyo SAMCHARD BLOG imezungumza na baadhi ya wakazi wa manispaa ya dodoma kuwepo kwa bendera za vyama vya siasa inaashiria nini kuelekea uchaguzi mkuu. Picha na Manase Madelemu

Katikati ya mji wa dodoma ambapo tunaona watu wakiendelea na shughuli zao za kila siku. Picha na Manase Madelemu
 Baadhi ya bendera za vyama vya siasa CCM na CHADEMA zikipepea katika eneo la makole barabara kuu iendayo morogoro Picha na Manase Madelemu

Related

NEWS 4500137741062646044

Post a Comment

emo-but-icon

item