Gari la Serikali Lakamatwa Huko Njombe Likidaiwa kuwa na Maboksi ya Kura FEKI zilizopigwa Kumchagua Magufuli
Gari la Serikali limekamatwa mkoani Njombe likidaiwa kuwa na kura FEKI Zilizizopigwa kwa ajili ya mgombea ...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/10/gari-la-serikali-lakamatwa-huko-njombe.html
Gari
la Serikali limekamatwa mkoani Njombe likidaiwa kuwa na kura
FEKI Zilizizopigwa kwa ajili ya mgombea urais wa CCM
Gari
lililokamatwa ni la Tanroads, na limekamatwa leo
asubuhi.Walipokamatwa walijitetea kuwa walikuwa wamebeba t shirt
za Magufuli.
Baada
ya Upekuzi kufanyika, chini ya shinikizo la wananchi, gari hilo
lilikutwa na kura ambazo tayari zimepigwa kumchagua Magufuli.
Taarifa hii Imethibitishwa na James Mbataia, Mwenyekiti mwenza wa Ukawa. . Tazama Video BOFYA HAPA KUONA VIDEO HIYO

