LICHA YA KUTUPIA NYAVUNI LAKINI MSIMAMO KWA MATHIEU FLAMINI BADO UPO HIVI
Flamini mara ya mwisho ananza kwenye kikosi cha Arsenal ilikua ni February 15 kwenye mechi ya FA Cup dhidi ya ya Middlesbrough. Pia haja...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/09/licha-ya-kutupia-nyavuni-lakini-msimamo.html
Flamini mara ya mwisho ananza kwenye kikosi cha Arsenal ilikua ni February 15 kwenye mechi ya FA Cup dhidi ya ya Middlesbrough. Pia hajaanza kwenye kikosi cha kwanza kwenye mechi ya EPL tangu December 2014 kwenye mechi dhidi ya West Ham.
Jana kwenye mechi dhidi ya Spurs alicheza na kutupia nyavuni goli ambalo lilichangia kwenye ushindi wa Arsenal. Mchezaji huyu ambae analipwa pound 70,000 kwa wiki msimamo wake bado upo pale pale kwamba atahama Arsenal ikifika summer.
Manager Wenger hamtumii sana kwenye mechi zake kwasababu ya kuwa na machaguo bora zaidi yake. Arsenal ilijaribu kumuuza mchezaji huyu kwenye kipindi kindi kilichopita kwenye Galatasaray lakini haikufanikiwa. Uwezekano mkubwa upo wa Flamini kujiunga na club hiyo kwenye kipindi kijacho.