Flatnews

HUYU NDIYE RAISI MDOGO KULIKO WOTE DUNIANI

Rais wa Poland anaitwa Andrzej Duda ndio Rais ambaye anatajwa kuwa mwenye umri mdogo kuliko ma rais wote duniani, Rais huyo ana umri wa ...


Rais wa Poland anaitwa Andrzej Duda ndio Rais ambaye anatajwa kuwa mwenye umri mdogo kuliko ma rais wote duniani, Rais huyo ana umri wa miaka 43

na kwa ma Rais wote Duniani waliochaguliwa katika chaguzi za kidemokrasia wanasema hakuna Rais  ambaye anaa umri kama huo au chini ya huo.Rais huyo aliingia madaraka mwezi mei, 2015 akiwa ameshinda kwa zaidi ya 52% ya kura zote zilizopigwa, Duda alitimiza umri wa miaka 43 mwezi mei tarehe 16 mwaka huu.

Related

NEWS 8175990892355390768

Post a Comment

emo-but-icon

item