Man Utd yasonga mbele UEFA
Kutoka kulia Wayne Rooney, Memphis Depay na Mata wakishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 20 kipindi cha kwanza.
https://samchardtz.blogspot.com/2015/08/man-utd-yasonga-mbele-uefa.html
Kutoka kulia Wayne Rooney, Memphis Depay na Mata wakishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 20 kipindi cha kwanza.
Herrera akishangilia baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 63 kipindi cha pili.
Wayne Rooney na Mata wakipongezana.
Wayne Rooney akiwa na mpira wake baada ya kufunga mabao matatu katika mechi hiyo dakika ya 20, 49, 57.
Katika
muendelezo wa mechi za mkondo wa pili kufuzu kwenye mashindano ya klabu
bingwa barani Ulaya, usiku wa kuamkia leo timu kadhaa zilishuka dimbani
kutafuta tiketi ya kuingia katika hatua ya makundi.
Manchester Utd imefanikiwa kusonga mbele kwa kishindo baada ya
kuibuka na ushindi wa bao 4-0 dhidi ya Club Brugge na kufanya matokeo
kuwa 7-1, katika mikondo yote miwili.Katika mchezo huo nahodha Wayne Rooney alidhihirisha kuwa bado yupo vizuri katika kucheka na nyavu, baada kufunga mara tatu.
Droo ya makundi ya ligi hiyo, inatarajiwa kufanyika leo hii.
CLUB BRUGES (4-1-3-2): Bolat 6; De Fauw 4, Castelletto 5, Duarte 5, De Bock 5; Claudemir 5; Vormer 5.5, Vazquez 5.5 (Vanaken 62mins, 6), Bolingoli Mbombo 6 (Cools 76, 6); De Sutter 6.5, Diaby 5.5 (Dierckx 63, 6)
Subs not used: Bruzzese, Meunier, De Smul, Oulare
Booked: Claudemir, Vormer
MANCHESTER UNITED (4-2-3-1): Romero 6; Darmian 6.5, Smalling 6.5, Blind 6.5, Shaw 7; Carrick 7, Herrera 7 (Hernandez 64, 6.5); Mata 6.5 (Young 62, 6), Januzaj 6 (Schweinsteiger 46, 7.5), Depay 7; Rooney 8
Subs not used: Johnstone, McNair, Schneiderlin, Fellaini
Goals: Rooney 20, 49, 57, Herrera 63
Booked: Herrera
MOM: Rooney
Referee: Antonio Mateu Lahoz (Spain)
Attendance: 29,000
