Flatnews

ISIKUPITE HII HABARI MPYA KUHUSU SERGIO RAMOS NA REAL MADRID

Moja kati ya majina yaliyotajwa sana kwenye kipindi hiki cha usajili ni jina la Sergio Ramos kuhusu ishu ya yake ya kutaka kuhama club ...



Moja kati ya majina yaliyotajwa sana kwenye kipindi hiki cha usajili ni jina la Sergio Ramos kuhusu ishu ya yake ya kutaka kuhama club ya Real Madrid na kuhamia Manchester united. Tetesi hizo
zilinogeshwa na uwezekano wa mchezaji huyo kuhama na kubadilishana wachezaji akiwemo De Gea akiwa ni hitaji kubwa la Real Madrid.
Lakini kwa sasa hivi habari mpya ikufikie ni kwamba ndoto hizo rasmi zitakwisha kutokana na taarifa zilizotoka kwamba siku ya jumatatu Ramos anategemea kusign mkataba mpya na Real. Mkataba huo unategemewa kuisha June 30 mwaka 2020. Sherehe hizo zitafanyika Bernabeu.

Related

SPORTS 5987445254330642943

Post a Comment

emo-but-icon

item