Di Maria yupo Qatar anafanya vipimo vya afya kujiunga na PSG…..
Leo hii Angel di Maria amewasili Qatar kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya kujiunga na Paris Saint-Germain.
https://samchardtz.blogspot.com/2015/08/di-maria-yupo-qatar-anafanya-vipimo-vya.html
Leo hii Angel di Maria amewasili Qatar kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya kujiunga na Paris Saint-Germain.
• Manchester United imekubaliana na PSG ada ya uhamisho ya paundi milioni 44.
• Di maria amesafiri kwa ndege kutoka nchini Argentina akipitia kwenye jiji la Sao Paulo.
• Wamiliki wa PSG wanaishi nchini Qatar na taarifa kutoka kwenye familia hiyo zinasema wamekubaliana mkataba wa miaka minne ambapo atakuwa analipwa mshahara wa paundi 170,000 kwa wiki.