uzinduzi cha chama NETEVE kinachojihusisha na mambo ya utamaduni wa Afrika nchini Ubelgiji
Mheshimiwa Tim Vandenput Meya wa kitongoji cha Hoeilaart nchini Ubelgiji akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa chama c...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/03/uzinduzi-cha-chama-neteve.html
Wanachama wa Neteve wakipiga makofi kushangilia uzinduzi rasmi wa umoja wao pale Mheshimiwa Tim Vandenput alipokata utepe kukizundua chama hicho rasmi. |
Kikundi cha ngoma cha Amahoro kutoka Rwanda kikitumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa chama cha Neteve nchini Ubelgiji |
Wasichana warembo wa Amahoro Music Dance wakifanya yao katika sherehe za uzinduzi wa chama cha Neteve[Picha na maelezo toka Maganga One Blog]. |
Wageni waalikwa toka mataifa mbalimbali wakiendelea kupata yanayojiri kwenye uzinduzi huo. |
Rais wa chama cha Neteve akitoa hotuba ya kukitambulisha chama chao muda mfupi baada ya uzinduzi.[Picha na maelezo toka Maganga One Blog].
|
Afisa ubalozi wa Namibia kushoto pia alikuwa mgeni mwalika katika sherehe hizo wa uzinduzi |
Wageni waalikwa wakiwa makini kusikiliza taratibu wilizokuwa zikiendelea |
Waalikwa wakiendelea kusikiliza hotaba za viongozi mbalimbali hawapo pichani |
Microphone controler alikwa ni Dr Pendo |
Mchungaji wa mwanamke toka nchini Maurituas akitoa hotuba fupi kabla ya kutoa burudani ya muziki wa katika ufunguzi wa sherehe za Neteve
Katika sherehe za ufunguzi wa umoja wa chama cha NETEVE kulikuwa na ngoma asilia ambazo zilikuwa zikipigwa na wazungu.
Burudani ya aina yake ilichukua nafasi katika sherehe za ufunguzi wa NETEVE
Burudani ilikuwa nzuri na kila mmoja alishangilia kuona wazungu hawa wakicheza kwa ustadi mkubwa ngoma zenye asili ya kiafrika
Saitoti na nduguye wakifanya mambo yao kwenye sherehe za uzinduzi wa chama kisicho cha kiserikali cha NETEVE ambacho kinajishughulisha na mambo ya utamaduni |
Mr na Mrs Saitoti |