Mimi Siyo Marioo – Niva
Mwigizaji wa filamu Zubery Mohamed ‘Niva’ amekanusha kuwa yeye siyo Marioo yaani analelewa na wanawake bali n...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/03/mimi-siyo-marioo-niva.html
Mwigizaji wa filamu Zubery Mohamed ‘Niva’ amekanusha kuwa yeye siyo Marioo yaani analelewa na wanawake bali ni jina tu ambalo limetokana na wimbo wake alioufanya na kurekodi.
“Napata shida sana watu wananiona eti mimi Marioo jina hili nimepewa na mpenzi wangu ambaye simtaji kwa jina lake mimi ni mwanaume ninayejua majukumu yangu wala simtegemei mwanamke yoyote zaidi ya wao kujipendekeza kwangu,”anasema Niva.
Niva anasema kuwa wapo wasanii wanyonge wenye tabia hizo lakini si kwake kwani hawezi kuwa Mkongo maana jina hilo linatokana na baadhi ya wasanii wa Bongo fleva na wasanii filamu lakini yeye anafanya kazi kwa jasho na kuhudumia familia yake mwenyewe.