Flatnews

VIJIMAMBO: Nikulidhishe Kwani Wewe Unanilidhisha!!!!-Lulu

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth  Michale ‘Lulu’ amewatolea uvivu baadhi ya followers wake kwenye m...


VIJIMAMBO: Nikulidhishe Kwani Wewe Unanilidhisha!!!!-Lulu
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth  Michale ‘Lulu’ amewatolea uvivu baadhi ya followers wake kwenye mtandao wa Instagram ambao huwa wana DIS kila anachokiweka.

Akionyesha hali ya kutokujali, mwanadada huyo alibandika picha hiyo hapo juu mtandaoni  na kundika;
“Lego get em….. Nikuridhishe Kwani we unaniridhisha!???Am Soleeee...!”
Ujumbe ambao uliugwa mkono na followers wengi na kuwa ‘tag’baadhi ya wale ambao kazi yako wao ni kumponda tu bidada huyu.
Nadhani ujumbe umefika!!!.. Ila picha hii Mh!!

Related

BONGO MOVIES 4421481956239033270

Post a Comment

emo-but-icon

item