Uwanja Wa Mashabiki: Hakika Nampenda Wellu Sengo!!
Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikifuatilia movie za kibongo kuna huyu dada anaitwa WELU SENGO,nimetokea kum...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/02/uwanja-wa-mashabiki-hakika-nampenda.html
Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikifuatilia movie za kibongo kuna huyu dada anaitwa WELU SENGO,nimetokea kumkubali sana kwa namna anavyoigiza na ana uwezo wa kuuvaa uhusika
wowote atakaopewa,pia yuko smart kwenye lugha haswa anapoongea lugha ya malkia Elizabeth lakini mwisho kabisa ni mrembo sana yuko na baby face na ile figure doh!acha niusemee moyo wangu,I LOVES YOU WELU SENGO
By: Munagwa Jr
Huu ni uwanja wako wewe shabiki kutiririka chochote kuhusu wasanii na tasnia nzima ya filamu. Tuandikie uchumbe (message) kwenye ukurasa wetu wa facebook, nasi tutaufikisha hapa. Vigezo na masharti kuzingatiwa.