Flatnews

Ulikuwa unafahamu kuwa Victoria Kimani aliwahi kuhusika kuandika single aliyoshirikishwa Chris Brown?

. Good news ninayokusogezea ni ya msanii kutokea label ya Chocolate City, Victoria Kimani ambaye jana ni mmoja ya waliosikika AMPLI...


.
.
Good news ninayokusogezea ni ya msanii kutokea label ya Chocolate City, Victoria Kimani ambaye jana ni mmoja ya waliosikika AMPLIFAYANI, story ambayo alisikika nayo ni kuhusika kwake kuandika wimbo wa msanii wa Japan anayefahamika kama A.I.
Wimbo huo unaitwa Put You On, ameshirikishwa msanii kutokea marekani Chris Brown na Diggy Simmons.
Unaweza ukaitazama hapa video ya single hiyo ambayo staa huyu alishiriki kuiandika ya #PutYouOn

Related

Victora Kimani 7716676784427606436

Post a Comment

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

Text Widget

Connect Us

Popular Posts

item