Flatnews

Swebe: Sijaacha Kuigiza!!

Pamoja na kupata dili la kutangaza  katika kituo cha  E FM Cha jijini Dar es salaam mwigizaji mkongwe, Adam M...


Swebe: Sijaacha Kuigiza!!
Pamoja na kupata dili la kutangaza  katika kituo cha  E FM Cha jijini Dar es salaam mwigizaji mkongwe, Adam Melele “Swebe Satanta” amesema ajaacha uigizaji.

Swebe alisema kuwa bado anaigiza na nikiongozi  wa kundi jipya lianalounganisha wakongwe  katika tasnia ya filamu na maigizo la Kaone Sanaa linalorusha tamthiliya yake  katika TV one.
‘Naingiza kama kawaida  isipokuwa inategemea napata maslai kwa mtindo gani? Harafu pia unatakiwa ujue kama mimi ni kiongozi wa kundi la Kaone Sanaa, naigiza pia nikitangaza sifungwi nisiigize” swebe alisema.
Swebe kwasasa anatangaza kipidi cha Gurudumu ni nacho rushwa  kilasiku kwenye kituo hicho cha redio, Wengi walidhani kuwa atakuwa ameacha kuigiza kutokana na shavu hilo.

Related

SWEBE 4587089359262941360

Post a Comment

emo-but-icon

item