Flatnews

R.I.P MEZ B MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI

Msanii Mez B aka Moses aliyekuwa Mkoani Dodoma kwa matibabu baada ya kurudishwa nyumbani na mama yake amefariki Dunia. Mez B alikuwa aki...


Mez-B1
Msanii Mez B aka Moses aliyekuwa Mkoani Dodoma kwa matibabu baada ya kurudishwa nyumbani na mama yake amefariki Dunia. Mez B alikuwa akiuguliwa na homa ya mapafu [TB] na alikuwa kwenye dozi na leo ilikuwa siku ya tatu toka anatumia dawa hizo.

Leo asubuhi aliamka na kunywa dawa na chakula ila hali yake haikuwa sawa na kuonekana amelegea. Daktari wake alipigiwa siku na kuamuru awekewe drip ila hali yake ikawa mbaya zaidi, wakati wanampeleka hospitalini alifia walipofika mapokezi. Jirana amelezea haya.
Pole kwa familia ya Mez B, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, Amen.

Related

mez b 9005546859468002567

Post a Comment

emo-but-icon

item