Flatnews

Polisi wanne wauawa Tunisia

Maafisa wa polisi nchini Tunisia Tunisia imesema kuwa polisi wanne wameuawa kwenye shambulizi lilito...


Maafisa wa polisi nchini Tunisia
Tunisia imesema kuwa polisi wanne wameuawa kwenye shambulizi lilitokea katika mkoa wa Kasserine uliopo karibu na mpaka na Algeria.

Wizara ya ndani ilisema kuwa tukio hilo lilifanyika eneo la Boulaaba.
Shambulizi hilo lilifanyika eneo ambapo kundi lililo na uhusiano na mtandao wa Al Qaeda la (Okba Ibn Nafe'a) linaedesha harakati zake.
Tunisia imeongeza ulinzi kwenye mpaka wake na Libya kufuatia kuzorota kwa usalama eneo hilo.

Related

NEWS 3827369031257767815

Post a Comment

emo-but-icon

item