PICHA;MAMA WA KANUMBA AGEUKA MBOGO KUFUATIA KUFUNGWA KWA OFISI ZA KANUMBA THE GREAT
KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mteg...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/02/pichamama-wa-kanumba-ageuka-mbogo.html
Watu
wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni
haimhusu mtu yeyote, hili ni jambo langu siyo lazima niliweke wazi,
kama kampuni imekufa au itaendelea haiwahusu, wanaoamini imekufa waamini
hivyo, maana hata Yesu walisema atarudi hadi leo mbona hajarudi?”
aliuliza kwa hasira mama huyo.
Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, 'Kanumba The Great', Flora Mtegoa.
Ofisi ya mkali huyo wa filamu za Kibongo, aliyefariki ghafla miaka
mitatu iliyopita, ilikuwa eneo la Sinza Mori na ilifungwa wiki mbili
zilizopita, baada ya mama huyo kudaiwa kushindwa kumudu kodi mpya ya
pango ambayo ilipandishwa.