Flatnews

Mataifa ya kiarabu yataka suluhu Libya

Islamic state Kundi la mataifa ya nchi za magharibi limetaka kuwepo kwa hatua za dharaua kutafuta s...


Islamic state
Kundi la mataifa ya nchi za magharibi limetaka kuwepo kwa hatua za dharaua kutafuta suluhu ya kisiasa katika mzozo uliopo nchini Libya ambapo makundi hasimu yanang'ang'ania madaraka.

Taarifa hiyo kutoka marekani , Uingereza , ufaransa , Ujerumani, Italia na Uhispania inajiri baada ya Misri kuomba msaada wa jeshi la kimataifa.
Siku ya Jumapili Misri ilithibitisha kuwa wanamgambo wa Islamic state waliwakata vichwa watu 21 raia wake ambao ni wakisristo wa madhehebu ya Copti

Related

NEWS 7119420062902703587

Post a Comment

emo-but-icon

item