Flatnews

AMA KWELI DUNIA IKO MWISHO! MTOTO ALBINO AKUTWA AMEKATWA KICHWA NA MIGUU HUKO BIARAMURO

MTOTO  YOHANA  AKIWA  AMEUWAWA  KIKATILI  KWA  KUKATWA  MIGUU  NA  MIKONO Serikali! Serikali! Serikali!


MTOTO  YOHANA  AKIWA  AMEUWAWA  KIKATILI  KWA  KUKATWA  MIGUU  NA  MIKONO
Serikali! Serikali! Serikali!
Hii Aibu ya Nchi yetu itakaisha lini Jamani?!Zamani Watu waliaminishwa na stori kuwa Albino hafi Bali anatoweka. Ukibisha unaulizwa uonyeshe Kaburi la Albino. Kumbe idadi yao ilikuwa chache ndio sababu ni ngumu kufahamu.Sasa kwa matukio Haya yanayoendelea, mtafanya Watu waamini Kwamba hili la Albino lilianza zamani kutekwa na kuuawa kikatili.
Inaumiza sana na kutia uchungu kuona ukatili na unyama wanaofanyiwa hii jamii kwa imani za kishenzi kwenye Dunia ya Leo. Ni aibu aibu tena aibu kubwa sana.Tunataka kuona hili jambo linakoma haraka sana. Aaaagh! Too Much sasa! Mnaudhi SANA!
ONA HII SASA......Ubinadaam ipo wapi hapa!?
Mtoto YOHANA S/0 BAHATI, 1MIAKA , albinos aliYe tekwa Chato, Geita akutwa amekatwa mikono na miguu ktk hifadhi ya Biharamulo.
Mnisamehe kwa kuweka hii Picha ya tukio, lakini imenilazim kuonyesha uchungu nilioupata dhidi ya kitendo hiki ovu.  
  Lazima  serikali  ichukue  hatua  haraka  kukomesha  ukatili  huu

Related

NEWS 1595319575309028977

Post a Comment

emo-but-icon

item