Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi
https://samchardtz.blogspot.com/2015/01/rais-kikwete-awasili-nchini-msumbiji.html
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika
uwanja wa ndege wa Maputo kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa
Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi mjini Maputo. Bwana Nyusi anachukua hatamu
za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto Guebuza anayemaliza
muda wake.
(Picha na Freddy Maro)