Flatnews

Mtibwa Sugar vs Simba fainali Mapinduzi Cup 2015.



.
.

Mechi ya fainali Mapinduzi cup 2015 kati ya Mtibwa Sugar na Simba imemalizika kwa timu ya Simba kuibuka na ushindi wa mikwaju ya matuta (penalty) 4 kwa 3.
Mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar ambapo mpaka dakika 90 ilikua 0-0 ila walivyokwenda kwenye Matuta mzigo ukawaangukia Simba.
.
.
Hii ndio list ya wachezaji waliofunga magoli ya matuta (penalty) kwenye fainali hiyo.
MTIBWA:
1.Ally Lundenga (pata)
2.Shabaki Nditi (pata)
3.Rajab Jeba (kosa)
4.Ramadhani Kichuya (pata)
5.Vicent Barnabas (kosa)

SIMBA:
1.Awadhi Juma (pata)
2.Shabani Kisiga (kosa)
4.Ramadhani Kessy (pata)
5.Hassan Isihaka (pata)

Post a Comment

emo-but-icon

item