Flatnews

FT: Manchester United 3 – 1 Leicester City

Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha Manchester United inaongoza kwa ma...



B8sIGPbCIAIo90B
Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha Manchester United inaongoza kwa magoli 3-0 dhidi ya Leicester
City huku magoli yakifungwa na Roben Van persie(27′), Falcao (32′) na goli la kujifunga la Morgan kwenye dakika ya 44.Mechi iliendelea kuwa ya kushambuliana mpaka dakika ya 80 Leicester City wanapata goli kupitia kwa  Marcin Wasilewski.

Related

MICHEZO 1769632598389684613

Post a Comment

emo-but-icon

item