Flatnews

Breaking News: Serena ambwaga Sharapova, afikisha mataji makubwa 19

Serena Wiliams amfunga Sharapova kwa seti 6-3, 7-6. Moja ya vitu muhimu ...



_80694157_serena_epa
Serena Wiliams amfunga Sharapova kwa seti 6-3, 7-6.
Moja ya vitu muhimu vya kuvutia kwa mchezaji tenesi No.1 kwa wanawake Duniani Serena
Williams ni katika kipindi cha miaka 17 aliyocheza tenesi amezoa mataji 19 kwa jumla huku mataji 6 yakiwa ya Australia.
af8dcb3c-9f23-4913-9a5b-d63b23e6dc95-620x372
Sharapova asema yeye ni bora ndio maana anachezaji na wachezaji bora kama Serena Williams

Related

MICHEZO 8332871999250618395

Post a Comment

emo-but-icon

item